UTANGULIZI
Nawashukuru sana wasomaji wa blog hii ya kuelimishana walionesha ushirikiano wao kama hujalike like mara moja hapo tuweze kuendelea.
Katika makala somo letu la leo na kuendelea la website/blog design tutapitia vipengele vifuatavyo kimoja had kingine kama ifuatavyo
1.maana ya website/blogu
2.umuhimu wa website/blog katika kukuza ujasiliamali na kutumia website/blog kama fursa ya kukupatia kipato.
3. Vitu vya kuzingatia kabla ya kufungua website/blog
4. Kutambua aina mbalimbali za website/blog na jinsi zinavyotumika kukuza kipato chako
5. Jinsi ya kuhusanisha website/blog na fursa ulionayo kichwani wako ili kuweza kufanikisha maisha yako
6. Kuwatambua watu waliofanikiwa katika maisha yao kwa fursa hii ya kumiliki website/blog ili tuwe na lol modo wetu
7. Kupata msingi mfupi kuhusu mtandao yaani internet kama aina za browers,operating system yaan windo,mfumo wa simu zetu japo kwa ufupi kwa sababu ni mada pana nayo tutaizungumzia siku moja
8.Hatua za kufungua website/blog yako sasa
9. Jinsi ya kuiendesha ili uweze kufikia malengo yako uliyoyaweka
10. Jinsi ya kulinda makala zako zidi ya wezi wa makala katika website yako na facebook
HIVI NI VIPENGELE VICHACHE AMBAVYO TUTAANGALIA NA VINGINE TUTAONGEZEA KUTOKANA NA UHITAJI WA WASOMAJI
ANGALIZO: USIKOPY HII MAKALA NA ZINAZOENDELEA COZ NTAKUFAHAMU TUU NA NITAKUBLOCK CHA MSINGI KAMA UNAITAJI RAFIKI YAKO ASOME MUADD KWENYE HILI GROUP AU SHARE
KARIBUNI PUNDE TUU SOMO LETU LINAANZA LIKE KAMA UMEPENDA HILI SOMA NA TOA MAONI YAKO
'KWA PAMOJA TUNAWEZA '
ANGALIZO: USIKOPY HII MAKALA NA ZINAZOENDELEA COZ NTAKUFAHAMU TUU NA NITAKUBLOCK CHA MSINGI KAMA UNAITAJI RAFIKI YAKO ASOME MUADD KWENYE HILI GROUP AU SHARE
KARIBUNI PUNDE TUU SOMO LETU LINAANZA LIKE KAMA UMEPENDA HILI SOMA NA TOA MAONI YAKO
'KWA PAMOJA TUNAWEZA '
0 comments:
Post a Comment