Wednesday, August 10, 2016

SEHEMU YA 02: FAIDA ZA WEBSITE/BLOGU


SEHEMU YA 02

Baada ya kuangalia maana ya website/blog na mifano yake sasa tunakaribia kujibu maswali mengi ambayo hua unajiuliza kila siku usijari kuwa mpole

FAIDA ZA WEBSITE/BLOG AU UMUHIMU KATIKA MAISHA YA MJASILIAMALI

1. huingiza kipato kwa mmiliki kupitia matangazo mbalimbali kama vodacom na mengine na kuuza kitu anachokitangaza, bidhaa kama vile kaymu, kupatana website au alibaba website.

2. Hutumika kutangaza fursa ulionayo kwa jamii inayokuzunguka kwa haraka zaidi hasa website ambazo zinahusika na elimu, biashara, music, na mengine mengi

3.hutumika kufikisha taarifa mbalimbali kama habari,michezo, udaku na mengine mengi kwa jamii hususan website zinazohusika na habari

4. hutumika katika upokeaji, utunzaji, utoaji wa taarifa mbalimbali hasa katika taasisi mbalimbali kama TCU website na nyingine nyingi

5.hutumika kujitangaza wewe mwenyewe kwa jamii hasa kutangaza kipaji chako ulichonacho ili kuweza kupata fursa za ajili pia kupa wateja wa biashara unayomiliki kwa kuwa ni dunia nzima kwa hiyo uwezi jua muda huo website yako anasoma nani huenda idea yako inawasaidia watu wenye makampuni mashirika na ukapata fursa humo

HIZI NI FAIDA CHACHE TUU ZA WEBSITE USICHOKE KUSOMA ENDELEA KUFUATANA NAMI SEHEMU INAYOFUATA ILI UWEZE KUFUNGUA MWENYEWE NA KUIENDESHA
WEKA MAONI YAKO KUHUSU HII SEHEMU NA MASWALI PIA
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Latest Posts

Translate

Popular Posts

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support