Wednesday, August 10, 2016

SEHEMU YA 05: JINSI YA KUHUSANISHA WAZO LAKO NA WEBSITE/BLOG UNAYOTAKA KUFUNGUA


SEHEMU YA 05
baada ya kuangalia aina za website/blog tupo katika hatua nzuri sana ushauri wangu nakuomaba uwe unasoma na kuelewa vizuri sasa tuendelee

JINSI YA KUHUSANISHA WAZO LAKO NA WEBSITE/BLOG UNAYOTAKA KUFUNGUA
baada ya kutambua aina mbalimbali za website/blog najua utakuwa unafikiria kitu flani hivi na unajiuliza nitatumiaje fursa hii kufikia watu wengi na kuongeza kipato changu kwa kutumia wazo ambalo ninalo.
  • kwanza waitaji kutambua kuwa wazo lako ni pesa
  • pili kutokuwa mchoyo wa ujuzi ulio nao kwa wengine kwa sababu unajipunguzia uaminifu kwa watu wataopokea wazo lako
  • weka mikakati na malengo ya muda mrefu na mfupi ni jinsi gani utatumia muda wako katika fursa hii unayoifikiria
  • fikiria aina ya website/blog kutokana na wazo lako kama uajipata comment hapa chini wazo lako mm nitakwambia aina ya website unayotakiwa kufungua ili kufanikisha lengo lako
  • fikilia kuwa wa kipekee katika kufanikisha lengo lako usiige saana hata kama ukiiga basi badilisha kidogo na kuwe na utofauti wa fikra
HIZI NI MBINU CHACHE TUU NI JINSI GANI WAWEZA KUHUSANISHA WAZO LAKO NA WEBSITE/BLOG KUFIKIA MALENGO

USICHOKE MSOMAJI TWENDE PAMOJA
Share:

2 comments:

  1. mimi nataka kufungua website ya kuunganisha wafanya biashara wa vijijini wawe wanaagiza mzigo kupitia website yangu nifanyaje hapo

    ReplyDelete
  2. Mm natak kufungua website ila iwe inahus kupromot page zangu lakin nitangaz biashar zingine nafanyaj

    ReplyDelete

Blog Archive

Latest Posts

Translate

Popular Posts

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support