Wednesday, August 10, 2016

SEHEMU YA 01: MAANA YA WEBSITE/BLOGU


SEHEMU YA 01
MAANA YA WEBSITE/BLOG
website/blog ni ukurasa kama ilivyo facebook ambao unatumia mfumo wa mtandao kufikisha habari kwa watu wengi kwa muda mfupi. mfano kama ulikuwa unaitaji uwakusanye watu 100000 kuwatangazia kuhusu biashara yako waweza tumia website kuwafikia wote
mfano kama uliitaji garama ya kuwasafirisha wote, chakula, mahali pa kukutania unakuwa umesave hiyo garama
mifano ya website/blog ni kama milladayo.com, bongoflevaz.blogspot.com,tcu.go.tz,necta.go.tz,kazinaajira.blogspot.com,medtechnics.blogspot.com na nyingine nyingi.
Najua utakuwa unajiuliza kwa nn ukitafuta kitu kwenyegoogle napata? swali lako litajibiwa vizuri humu fuatana nami ili uwe kati ya mtu utakayetafutwa google ili watumie idea yako pia huitaji kujua sana codes ni simpo fuatana nami
mada itakua katika vipande vipande nisikuchoshe kusoma mambo mengi na itakuwa fupi na inayoeleweka
Share:

1 comment:

Blog Archive

Latest Posts

Translate

Popular Posts

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support