Wednesday, August 10, 2016

SEHEMU YA 08 HATUA ZA KUFUATA KUFUNGUA WEBSITE/BLOGU


SEHEMU YA 08
baada ya kuangalia vitu vya msingi vya kuwa navyo kabla hujaanza sasa ndo tunaanza kazi yetu hii ya kufungua website/blog

HATUA ZA KUFUATA

1.fungua gmail account ya website yako au kama utaitaji kutumia gmail account yako ambayo unayo ni sawa

2.google gmail.com

3.create account mpya au kama unayo sign in

4.baada ya hapo ingia blogger.com
 
5.log in na account yako ya gmail/google

6.baada ya hapo utaitajika kukubali kuendelea>kubali

7.baada ya hapo utaona sehemu imeandikwa create new blog(new blog) anzisha blog mpya maana yake

8.bofya hapo na utaambiwa ujaze jina la website,address, na kuchagua templates/muonekano utakaoupenda lakini hii si muhimu waweza badilisha baadae

9.baada ya hapo bonyeza create blog

HADI APO UTAKUWA UMEFUNGUA WEBSITE/BLOG YAKO SASA FANYA HIZO HATUA UKIKWAMA MAHALI NIULIZE HAPA CHINI NIPO KWA AJILI YAKO
Share:

1 comment:

Blog Archive

Latest Posts

Translate

Popular Posts

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support