Napenda kuwakaribisha ndugu wasomaji wa blog hii katika makala hii ya elimu juu ya solar power system tanzania. Tutazungumzia tukipitia katika vipengele vifuatavyo:
- Maana na historia fupi ya nishati ya jua (solar power system.
- Aina za nishati ya jua (solar power system) na matumizi yake
- Aina za paneli za nishati ya jua (solar system) na jinsi zinavyofanya kazi
- matumizi ya nishati ya jua (solar power system) hapa tanzania
- vitu vinavyoaathiri solar power system
- vitu vinavyounda solar power system na kazi zake kama battery,inveta, chage controla na vingi
- Vitu vya kuzingatia unapohitaji kununua vifaa vinavyounda solar power system kulingana na matumizi ya kawaida
- Fahamu jinsi solar inavyoweza kumaliza tatizo la umeme vijijini
- Jinsi ya kuunganisha solar power system hapa tanzania kwa ajili ya kupata asilimia kubya ya power inayotokana na nishati ya jua
- Tahadhari mbalimbali kuhusu matumizi na jinsi ya kuunganisha kwa usalama zaidi.
- Changamoto mbalimbali zinazokabili matumizi ya solar power system hapa tanzania.
- tutashirikiana zaidi ili kupata idea mbalimbali ili kuweza kubuni technologia itakayotumika kutatua matatizo ya mwananchi kwa kutumia solar power system
- Na vingine vingi tutaendelea kukuletea makala itakavyozidi kuendelea
KWA HIYO NDUGU ZANGU WATANZANIA NA WALIO NJE YA NCHI WASOMAJI WA
BLOG HII NAWAKARIBISHA KATIKA MAKALA HII JISIKIE HURU KUCHANGIA MAONI
YAKO NA MASWARI YOTE YATAJIBIWA VIZURI NA MIMI ADMINI NA WOTE
WATAWEZA KUTOA MCHANGO KWA SWALI LAKO SOTE KWA PAMOJA TUTUMIE
NISHATI YA JUA KWA KUTATUA MATATIZO MBALIMBALI YANAYOWAKABILI
WATANZANIA.
0 comments:
Post a Comment