Wednesday, August 10, 2016

SEHEMU YA 07: VITU VYA KUWA NAVYO KABLA YA KUFUNGUA WEBSITES/BLOG


SEHEMU YA 07
baada ya kuangalia msingi mfupi wa mtandao yaan internet na jinsi unavyofanya mawasiliano na website na search engine zinapokeaje ujumbe unatumwa na webmasters

VITU VYA KUWA NAVYO KABLA YA KUFUNGUA WEBSITES/BLOG

1. kifaa kinachowezesha mtandao kama simu,computer,ipad,tablet na vingine

2. modem au wifi support devices

3.jina la website/blog unayotaka kufungu

4.url address ya website yako

5.mpangalio mfupi wa website yako unavyotaka uwe kama login,sign up,email follower,email subsribe,google plus comment, na widgets nying unazoitaji

6.unatakiwa kufahamu kuwa website yako itawalenga watu wa aina gani kitu cha msingi sana hiki

7.kuamua lugha ya kutumia kwenye website yako kutokana na aina ya watu unaotaka kuwafikia

8.kujua platform utakayofungulia kama blogger,wordpress,weeby,durpla na nyingine nyingi lakini kwa leo tutaangalia blogger

9.kama utaitaji kuwa na domain kabisa ni sawa lakini sio lazima unapoanza kama .com, .org, .co.tz, na nyingine kwa leo tutatumia .blogspot.com kama free domain kama utaitaji hizo za juu ntakuelezea jinsi ya kununua

10.unatakiwa uwe na msingi kidogo wa lugha ya kiingereza lakini sio sana na pia kama utaitaji muonekano mzuri wa website/blog yako unatakiwa kuwa na idea ndogo ya html na java kidogo sana lakin usijal kwa hili nipo kwa ajili yako

MWISHO NI KUJUA KUWA KUNA SHERIA YA NCHI NA TCRA WAPO MAKINI KUHUSU DHIMA YA WEBSITE YAKO KWA HIYO FIKIRIA KWANZA
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Latest Posts

Translate

Popular Posts

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support