SEHEMU YA 04
sehemu ya 3 tuliangalia vitu vya kuzingatia unapofungua website/blog natumaini umesoma na kuelewa sehemu zilizopita na umeelewa maana naona hakuna maswali asanteni sasa tuendelee
AINA ZA WEBSITE/BLOG
*website za burudani kama djmwanga.com,bongo5.com, na zingine
*website za utamaduni
*website za michezo kama shafiidauda.com
*website za habari kama medtechnics.blogspot.com, mpekuzihuru.com,mtembezi.com
*website za elimu na ujasiliamali kama ujasiliamali01.blogspot.com,mikita.blogspot.com
*website za biashara kama kaymu.com,kupatana na nyinginezo
*website za taasisi na serikali kama tcu.go.tz na nyingine nyingi kama dini,siasa,sheria,uchumi,mapenzi,ndoa,kilimo,utandawazi,afya yaaan nyingi siwezi kuzimaliza bila kusahau za ulunzi na usalama
NAJUA MSOMAJI WANGU UTAKUWA UMEPATA PICHA UNATAKIWA UFUNGUE WEBSITE YA AINA GANI KUTANGAZA FURSA ULLIONAYO NA KUPATA KIPATO
ENDELEA KUFUATANA NAMI LEO LAZIMA TUJUE HATUA ZA KUFUNGUA WEBSITE/BLOG KIPENGELE KINACHOFUATA NI JINSI YA KUHUSANISHA WAZO LAKO NA WEBSITE/BLOG UNAYOTAKA KUFUNGUA
ENDELEA KUFUATANA NAMI LEO LAZIMA TUJUE HATUA ZA KUFUNGUA WEBSITE/BLOG KIPENGELE KINACHOFUATA NI JINSI YA KUHUSANISHA WAZO LAKO NA WEBSITE/BLOG UNAYOTAKA KUFUNGUA
0 comments:
Post a Comment