Wednesday, August 10, 2016

SEHEMU YA 06: MSINGI MFUPI KUHUSU MTANDAO WA INTERNET



SEHEMU YA 06
Baada ya kuangalia sehemu ya 5 sasa tunaanza sehemu ambayo watu wanaisubiria kwa hamu kubwa nayo ni

MSINGI MFUPI KUHUSU MTANDAO WA INTERNET

Nini maana ya internet/mtandao?

  • ni mfumo wa dunia nzima wa kuunganisha mawasiliano ya computer kwa kutumia mtandao kuunganisha vifaa hivyo.
sasa ili kufanikisha mawasiliano hayo kuna vitu vinatumia kama ifuatavyo
  • muunganishaji(server)
  • website/blog
  • engine za kutafutia kama google/yahoo/weekpedia na zingine nyingi
  • browers ambazo zinakuwa na engine za kutafutia kama firefox mozzila,operamini,us browers,torch na zingine nyingi
  • ambapo mmiliki wa website anapopost kitu kinaenda kwa server na kichwa cha post kinachukuliwa na kuwa index na engine za kutafutia, sasa mtumiaji ukiingia google kwa kutumia operamini unatafuta kitu, kwanza unawasiliana na server na kama anapatikana je kipo kwenye hiyo engine ya kutafutia server anakupatia hicho kitu kilichopostiwa na mwenye website/blog oooooooooooooooooooooh ni ajabu eeeeeeeeeh
  • muhimu tuu mmiliki wa website hafaidiki na mb unazotumia kuingia kwenye website yako anayefaidika na mb ni mvumbuzi wa software yaani bil gate tuu
  • cha muhimu kingine ni kwamba pasipo mb huwezi kuendesha website/blog kwa hiyo inaitaji pesa kidogo ya kununua mb
HUO NDO MSINGI MFUPI WA MTANDAO JAPO NI SOMO PANA KAMA UNA SWALI WAWEZA NIUULIZA NITAKUJIBU
Share:

1 comment:

Blog Archive

Latest Posts

Translate

Popular Posts

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support