BAADA YA KUANGALIA UMUHIMU NA KAZI ZA WEBSITE/BLOG SASA
TUANGALIE VITU VYA KUZINGATIA KABLA HUJAFUNGUA WEBSITE YAKO NI KAMA IFUATAVYO
- unatakiwa utambue kuwa huu ni ujasiliamali kwa hiyo uwezi faidika kwa muda mchache inaitaji kipindi fulani cha kukua inaitaji uvumilivu sana na kuchapa kazi mfano kaka angu millad ayo kama lol modo
- kama cha kwanza ni sawa pili waitaji kuwa mbunifu sana kufanya kitu cha tofauti na wenzako yaani kumodifai na kuja na aidea mpya itakayoweza kushika masikio ya watu na kukunufaisha hapo baadae kama mmiliki wa facebook alianza kiutani akiwa chuon havad lakin sasa na bilionea
- unatakiwa utambue kuwa unapofanya hili wewe ni mwekezaji kwa ajili ya kupata mafanikio kwa hiyo usihofu kuhusu kutoa muda wako na kiwango kidogo cha pesa kwa sababu uwezi pata hela kama hutatoa muda wako kufanya hili
- unatakiwa kuwa na wazo kichwani mwako unaitaji kufungua website ya aina gani na kwa kazi gani taadhari inatakiwa lisikiuke sheria za TCRA
- kufahamu aina ya watu ambao watalipokea wazo lako ili kuweza kuandaa mazingira ya kuwafikia vizuri
- unatakiwa uwe tayari kupokea marekebisho yaani uwe tayari kujifunza muda wowote ili uweze kukua
MWISHO UTAMBUE KILA KITU UNACHOFIKILI SASA BAADA YA KUSOMA HIZI MAKALA TATU NI PESA TAFADHARI CHAGUA MOJA ILI TUWEZE KUENDELEA NI KWA KUKUSHAURI KARIBU
TAADHARI USICOPY MAKALA HII KAMA UNAITAJI RAFIKI AKO ASOME SHARE
0 comments:
Post a Comment